Just stop with the argument, the 10,000 extra votes zenye mnasema were credited to Raila if you check the Form 34B and the Clip in which the Vice Cherera read the Juja votes tally.
Their defence should concentrate on such discrepancies ii ingine ni side shows. Hadi mtu anasahau 0.01% they are quoting are from the percentages each candidate got
Hawa watu ka @Okiya wataenda na izo arguments zao kwa S.C akina JSKS wakichukua any body from the streets without law background watashinda kesi. Hawa walitupa mbao lakini wacha tungoje
Sasa hawa watu wanajikaranga sasa if the numbers show one person leading what business do they have of discussing who will be announced as the president. Hawa waache kutupima kimeenda kimeenda