Hehe tuko na shida yani hadi swearing in wadau washapanga venye watashine mifuko yao...time to set a standard budget accross the board. Shenzi sana na venye tulikuwa tunajichocha venye MPs wamekuwa tamed kidogo kumbe wengine wanaona opporshunity from day one