Huku inaitwa kufanya harusi, kama uko na 50 na beshte yako ako na 50 unamwambia si twende tufanye harusi, mnaenda kwa counter mnasema ikatwe, hata harusi ya mtu tatu au nne ni kawaida, iko hata majamaa hukua hapo wakingojea mtu wafanye harusi. The way the term was coined was because the hard...