"Tuombee former prime minister (Raila Odinga), hata kama alitafuta kiti cha urais kwa miaka 25 na kukosa, ufalme wa mbinguni asikose," Kimilili MP Didmus Barasa has asked the church. "Itakua makosa sana ule mzee ahangaike kutafutakiti ya urais akose halafu baadae huko mbinguni akosekane," he...