Huyu ni Nguchiro,kwa jina lingine anaitwa Kicheche, kwa kiingereza anaitwa Mongoose ,japo ni wanyama wastani kwa kimo ni weledi kwa kuwinda na kuua nyoka , ,nyoka na Ndege ndio baadhi ya vyakula bora kwao, ,wanao uwezo wa kuua nyoka wa aina yote, kama vile Bafe na Swila, ni Anakonda na Chatu...