"Vijana wote tulikuwa tunaajiri kwa Kazi Mtaani, tutawaajiri wapande miti," President William Ruto has announced.
"Lazima tuchangie katika kubadilisha mazingira. Tunataka tupande miti kwa sababu climate change is a reality. Tutajenga mega dams 100. Kwa affordable Housing, tuko na nafasi ya...