Hizi advice ati usiwache gari kwa mech / car wash huwa hazimake sense, most times mimi huona hutoka from people who have never owned a car. Sasa ni kazi utafanya, ni mbili utakamata with friends, ni mtoto uta baby-sit au ni gari utakalisha. People should learn to value their time