Nimewai patiwa kazi ya ku surpervise such a lift, some electrical equipment inaitwa AVR, worth 9m and some change...... zero experience on such matters, lakini fee note huwa haiwachwi kwa hii economy. Tafuta a knowledgeable guy to advice, but since sijui kitu, sijui kama ile kitu ananiambia is...