Alituma nujue doba mingi sana nikiwa bado primary manze. Unaskia ananichambulia kuhusu kina huyo Papa Charlie of King lion Sounds, sjui nani wa Jahmbo sounds etc.
Then there came kina Simple Simon and Last Born, from hapo radio took over! Metro Fm with Jeff Mwangemi, Papa Nasty of Citizen and...