97 nilikua mono pale upper hill. Nilikua napanda mathree, sisqo, lady anne, virgin islands/lips ama kani to tao (if you know, you know). From tao, gill house, we used to hire naked language nissan, inatuweka kwa gate ya chuo. Alternatively, tungepanda pinky hadi roundabout then trek to upper...