Ndio napenda sana pale bbc Africa eye, Isipokua kenyan journos wamechoma picha jo. Kuna ya nightrunners (cringeworthy), kuna ya jane mugo (embarrassing), baby stealers (unproffesional very)...
Kwa baby stealers, bibi ya boniface mwangi alifanya about stolen Children. They came across a stolen...