Watu watashangaa, watu wengi wanafeel uchumi ni mbaya, especially watu wa chini, kila kitu imepanda bei. Halafu unaskia watu wanasema matatus Should not enter cbd from 1st of April na hakuna alternatives. Ushukie uhuru park, then uchape kaguu hadi ngara kama unaenda thika rd. Ukitoka shags...