Hii serikali ni yenu, tumetoa order wananchi wapewe nafasi walime msitu ndio tuongeze chakula… - DP Rigathi Gachagua
William Ruto tumemuachia kazi ya uchumi, kazi ya kutafuta pesa, tumemuachia kazi ya kuenda ng’ambo na kutafuta wawekezaji walete pesa Kenya. Hii kazi ndogo ndogo ya wizi ya...